Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kufanya kazi Gulf ili nibadilishe maisha yangu na kusaidia familia yangu. Nilikuwa nikiona watu wakirudi kutoka nje wakiwa wamejenga nyumba, kuanzisha biashara, na kusaidia familia zao.

Moyoni nilijua na mimi nilitaka nafasi kama hiyo. Lakini safari yangu haikuwa rahisi hata kidogo. Nilianza kutuma applications kupitia agencies mbalimbali.

Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa. Nilihakikisha documents zangu zimekamilika, nikafanya interviews, na hata mara nyingine nikatoa pesa za process nikiamini safari yangu ilikuwa karibu.

Lakini kila mara kulikuwa na disappointment. Mara application inakataliwa, mara nafasi inaenda kwa mtu mwingine, mara naambiwa nisubiri bila majibu ya kueleweka. 

Kadri muda ulivyopita, madeni yalianza kuniongezea pressure kwa sababu nilikuwa nimetumia pesa nyingi kufuatilia process ile.

Kwa kweli nilianza kuchoka. Kilichoniumiza zaidi ni kuona watu nilioanza nao process wakifanikiwa kusafiri huku mimi nikibaki nyuma. Watu wengine walianza kuniambia labda safari ile haikuwa ya kwangu.SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: