Kwa muda mrefu nilikuwa nikihangaika kukuza biashara yangu bila mafanikio makubwa. Nilikuwa nauza bidhaa mtandaoni na wakati mwingine dukani, lakini ukweli ni kwamba mambo hayakuwa rahisi.

Nilikuwa napost bidhaa kila siku, nikijitahidi kutangaza kwa watu, lakini wateja walikuwa wachache sana. Kulikuwa na siku nilikaa bila kuuza kitu chochote. Kwa kweli nilianza kukata tamaa.

Kilichoniumiza zaidi ni kuona biashara nyingine zikikua kupitia social media huku yangu ikionekana kusimama sehemu moja. 

Nilikuwa najitahidi kurecord videos, kupost picha, na hata kufanya offers, lakini hakuna kilichokuwa kinabadilika sana. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: