Nilimpenda kwa dhati. Nilimwamini kabisa. Nilifikiri tupo pamoja hadi mwisho. Lakini ghafla, aliniondokea. Aliniaibisha mbele ya marafiki na familia. Nilijihisi sifai, na aibu ilitupa kila kona ya moyo wangu.
Nililia, lakini hatimaye nikajikusanya. Sikupiga kelele, sikutafuta kugomana naye. Badala yake, nilijijenga kimya kimya. Nilijipenda tena. Nilijipa heshima.
Nilijaribu kuondoa maumivu yangu bila kuonyesha udhaifu kwa wengine.Soma Zaidi.

Post A Comment: