𝘼𝙞𝙩𝙖𝙠𝙖 𝙨𝙚𝙧𝙞𝙠𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙪𝙬𝙚𝙠𝙖 𝙢𝙞𝙥𝙖𝙣𝙜𝙤 𝙢𝙞𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙖𝙞𝙣𝙪𝙖 𝙫𝙞𝙟𝙖𝙣𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙠𝙪𝙟𝙞𝙠𝙬𝙖𝙢𝙪𝙖 𝙠𝙞𝙪𝙘𝙝𝙪𝙢𝙞.
𝘼𝙨𝙝𝙖𝙪𝙧𝙞 𝙆𝙤𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙯𝙖 𝙑𝙞𝙬𝙖𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙚𝙠𝙬𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙨𝙚𝙝𝙚𝙢𝙪.
"𝙈𝙥𝙖𝙣𝙜𝙤 𝙝𝙪𝙪 𝙬𝙖 𝙠𝙤𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙯𝙖 𝙫𝙞𝙬𝙖𝙣𝙙𝙖 𝙪𝙨𝙞𝙬𝙚 𝙢𝙥𝙖𝙣𝙜𝙤 𝙬𝙖 𝙢𝙖𝙚𝙣𝙚𝙤 𝙛𝙪𝙡𝙖𝙣𝙞 𝙝𝙖𝙡𝙖𝙛𝙪 𝙢𝙖𝙬𝙖𝙯𝙤 𝙮𝙖𝙠𝙖𝙬𝙖 𝙩𝙪𝙩𝙖𝙛𝙞𝙠𝙞𝙧𝙞𝙖 𝙠𝙪𝙬𝙚𝙠𝙖 𝙠𝙖𝙩𝙞𝙠𝙖 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙬𝙞𝙡𝙖𝙮𝙖 𝙗𝙖𝙡𝙞 𝙠𝙬𝙖𝙠𝙪𝙬𝙖 𝙝𝙪𝙤 𝙣𝙞 𝙢𝙥𝙖𝙣𝙜𝙤, 𝙣𝙞𝙣𝙜𝙚𝙤𝙢𝙗𝙖 𝙩𝙪𝙟𝙞𝙚𝙡𝙚𝙠𝙚𝙯𝙚 𝙠𝙪𝙬𝙚𝙠𝙖 𝙠𝙤𝙣𝙜𝙖𝙣𝙞 𝙯𝙖 𝙫𝙞𝙬𝙖𝙣𝙙𝙖 𝙠𝙬𝙚𝙣𝙮𝙚 𝙠𝙞𝙡𝙖 𝙚𝙣𝙚𝙤"
Hayo yameswa na Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mkoani Iringa, Mhe. 𝗗𝗶𝗰𝗸𝘀𝗼𝗻 𝗟𝘂𝘁𝗲𝘃𝗲𝗹𝗲 (𝗩𝗶𝗹𝗹𝗮) wakati akichangia kuhusiana na mpango wa serikali katika kujenga kongani za viwanda.
Mhe. Lutevele ameeleza kuwa ni muhimu kujenga kongani za viwanda kwa kila eneo kwa kile alichodai kuwa katika sekta ya viwanda wapo watu wengi walioajiriwa kufanya kazi na huwenda bado kama serikali haijawafikia.
Akitolea mfano jambo hilo, Mhe. Lutevele amesema "..𝘬𝘸𝘢 𝘮𝘧𝘢𝘯𝘰 𝘬𝘢𝘵𝘪𝘬𝘢 𝘯𝘤𝘩𝘪 𝘺𝘦𝘵𝘶 𝘩𝘢𝘵𝘢 𝘶𝘬𝘪𝘵𝘰𝘬𝘢 𝘯𝘫𝘦 𝘩𝘢𝘱𝘢 𝘴𝘢𝘴𝘢 𝘩𝘪𝘷𝘪 𝘶𝘵𝘢𝘬𝘶𝘵𝘢 𝘬𝘪𝘭𝘢 𝘣𝘢𝘢𝘥𝘢 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘢𝘢 𝘬𝘶𝘯𝘢 𝘨𝘦𝘳𝘦𝘫𝘪, 𝘷𝘪𝘫𝘢𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘵𝘦𝘯𝘨𝘦𝘯𝘦𝘻𝘢 𝘮𝘢𝘨𝘢𝘳𝘪, 𝘷𝘪𝘫𝘢𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘯𝘢𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢 𝘬𝘢𝘻𝘪 𝘻𝘢 𝘶𝘧𝘶𝘯𝘥𝘪 𝘴𝘦𝘭𝘦𝘮𝘢𝘭𝘢, 𝘸𝘢𝘮𝘰 𝘩𝘶𝘮𝘰 𝘭𝘢𝘬𝘪𝘯𝘪 𝘩𝘢𝘸𝘢 𝘷𝘪𝘫𝘢𝘯𝘢 𝘩𝘢𝘵𝘶𝘫𝘢𝘸𝘢𝘬𝘶𝘴𝘢𝘯𝘺𝘢 𝘴𝘦𝘩𝘦𝘮𝘶 𝘮𝘰𝘫𝘢"
Akiwekea msisitizo jambo hilo, Mhe. Lutevele amelieleza Bunge kuwa kwa serikali kutofanya hivyo kunaathiri mambo makubwa mawili ambayo amesema ni kutokuwa na mpangilio mzuri katika miji Pamoja na kushindwa serikali kushindwa kukusanya mapato kwakuwa vijana hao hawajekewa mpango mzuri wa kurudi kuangalia maendeleo yao.
Aidha, ameeleza namna ambavyo mpango wa BBT ulivyoshindwa kufuzu katika kuleta matokeo chanya kwa ukubwa kwenye kuwainua vijana katika kujikwamua kiuchumi na kushauri namna bora ya kufanya.
#KaziNaUtuTunasongaMbele

Post A Comment: