Kwa miaka mingi, nilijaribu kupata kazi kwenye makampuni makubwa na ya kimataifa, lakini kila jaribio lilishindikana. Kila maombi yangu ya kazi yalipokelewa kwa kukanushwa au bila jibu kabisa.

Nilijikuta nikihisi kuchoshwa, kudharauliwa, na hata kuanza kujiuliza kama nilikuwa na thamani ya kufanya kazi katika kampuni yoyote. 

Hali hii ilinifanya nihisi huzuni kubwa, shauku yangu ya kukua kitaaluma ikipotea kidogo kidogo.

Kila siku ilikuwa changamoto. Nilijaribu kurekebisha CV yangu, kujifunza ujuzi mpya, na kujitahidi kushirikiana na watu wenye nafasi ya uongozi, lakini matokeo yalikuwa hafifu.

Kila kukanushwa kunaniumiza na kuongezea woga kwamba ndoto yangu ya kufanya kazi kwenye kampuni ya kimataifa ingekufa bila kutimia.Soma Zaidi.
Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post A Comment: