Kila msimu wa sikukuu ulipokaribia, moyo wangu ulikuwa mzito. Safari ya kurudi kijijini imewahi kunigharimu mara kadhaa ajali karibu nitumbukie, lori lililokata ghafla, na dereva aliyelala usingizini.

Mwaka mmoja tulifika salama kwa bahati tu. Tangu hapo, nilianza kuogopa safari za mwisho wa mwaka, hasa barabara zilipokuwa zimejaa magari na mwendo wa haraka.

Mwaka uliopita nilijua siwezi kuingia barabarani bila maandalizi. Niliona vifo na majeruhi vikiongezeka kipindi cha Krismasi na Mwaka Mpya, nikajiambia ni lazima nijilinde kwa hekima.Soma Zaidi.…https://kiwangadoctor.com/kiswahili/safari-ya-kurudi-kijijini-ilikuwa-hatari-kila-mwaka-namna-nilivyojilinda-msimu-wa-sikukuu/
Share To:

Post A Comment: