Jina langu ni George kutoka Nakuru, na kwa muda mrefu nilidhani nimeoa rafiki tu wa kawaida, si mwanamke mwenye moto wa mapenzi. Ndoa yetu ilikuwa na upendo wa kawaida, tulicheka, tulipanga maisha pamoja, lakini upande wa faragha haukuwa na msisimko wowote.
Wakati mwingine nilijitahidi kumvutia mke wangu, lakini bado kila kitu kilihisi kuwa baridi. Nilijua alikuwa akinipenda, lakini sikuwa nahisi ule moto ambao kila mwanaume hutamani kutoka kwa mke wake.
Miaka ilivyozidi kusonga, nilianza kujikuta nikikosa hamu ya kuwa karibu naye. Nilihisi kama tumezoeana kupita kiasi. Wakati mwingine nilikaa nikijiuliza kama labda tatizo ni mimi, au ni yeye.
Nilijaribu kumsaidia apate ujasiri kitandani, lakini bado mambo yalibaki vilevile. Nilianza kuhofia ndoa yetu inaweza kuwa hatarini kama mambo yangeendelea hivyo.
Siku moja niliporudi nyumbani jioni, nilimkuta amejipanga tofauti. Alikuwa amevaa mavazi ya kuvutia, na tabasamu lake lilikuwa na mvuto ambao sikuwa nimeuona kwa muda mrefu. Soma zaidi hapa
Post A Comment: