Wiki ya kwanza nilipoanza mpango wa kando nilikuwa na wasiwasi wa ajabu. Nilihisi kama kila mtu alikuwa ananiangalia, majirani walikuwa wananong’ona na kila wakati simu ya mke wangu ilipopiga moyo wangu ulikuwa unadunda kwa kasi.
Nilijua siku moja nitakamatwa, na heshima yangu yote itaisha. Rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa wanaume wengi hukamatwa si kwa sababu wana makosa makubwa, bali kwa sababu hawana kinga ya kiroho ya kujifunika. Nilidhani ni masihara mpaka siku moja nilipokaribia kuumbuliwa na mambo yalikuwa mabaya.
Siku hiyo nilikuwa nimetoka kwa mpango wa kando na nikakutana na rafiki wa familia. Nilijua angewasha moto nyumbani kwa sababu alikuwa na tabia ya kupeperusha uvumi. Nilipofika nyumbani, nilishangaa kuona hakuna mtu aliyetaja lolote.
Baadaye nilipata taarifa kwamba yule rafiki alinisahau kabisa na hakuwahi kutaja kuwa aliniona mahali popote. Hapo ndipo nilianza kuamini huenda kuna nguvu zaidi ya macho ya kawaida. Soma zaidi hapa
Post A Comment: