Kwa zaidi ya miaka minne, nilitembea kila hospitali niliyoweza kufika nikitafuta tiba ya maumivu makali ya tumbo yaliyokuwa yananisumbua. Kila siku ilikuwa mateso. Maumivu hayo hayakuwa ya kawaida.

Yalianza taratibu kama kiungulia, kisha yakawa yanakata tumbo kwa nguvu kila baada ya kula au wakati wa usiku. Nilikuwa naishi kwa kutumia dawa za kupunguza maumivu tu, lakini shida haikuwa inakwisha.

Nilifanya vipimo vingi ultrasound, endoscopy, hata CT scan lakini kila daktari alinambia sina shida yoyote kubwa. Walikuwa wananipa antibiotics, dawa za kuondoa gesi, na chakula cha kufuata, lakini hakuna kilichobadilika.

Kuna wakati nilianza kufikiria labda ni laana, au kuna mtu alinilaani kwa sababu nilianza kupoteza uzito, nilikonda, na uso wangu ukaanza kukosa nuru. Soma zaidi hapa 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: