Sikuwahi kufikiria mtu ambaye nilimpenda kwa moyo wangu wote angeweza kunifanya vile alivyofanya. Niliishi na Kevin kwa miaka mitano. Tulikuwa na mipango ya maisha, mipango ya harusi, mipango ya watoto na hata mipango ya kununua kiwanja pamoja. Nilikuwa naamini tuko pamoja kwa kila hatua ya maisha. Lakini mambo yalibadilika haraka kuliko nilivyotarajia.
Kwanza alianzisha kisingizio cha kazi nyingi. Halafu simu zikaanza kuwa busy usiku wa manane. Nikamkuta na lipstick kwa shati, akadai ni za dada wa ofisini. Polepole alibadilika. Hakuniangalia tena machoni, hakunitumia hata meseji za asubuhi. Nilivumilia sana.
Nililia kwa mungu, nikamuuliza ni nini kosa langu. Lakini siku moja nikaona picha Facebook, alikuwa kwenye harusi. Harusi yake na msichana mwingine. Nilidondoka sakafuni. Nililia hadi sauti ikakauka.
Rafiki yangu mmoja alikuja kuniangalia. Alishangaa kwa nini nilikuwa nimekonda, macho mekundu kila siku. Nikamweleza kila kitu. Akanishika mkono na kuniambia kwa sauti ya upole, “Wewe si wa kuachwa hivi. Soma zaidi hapa.
Post A Comment: