Kwa miaka mitano, kila kitu maishani mwangu kilikuwa kimepoa hakuna kazi, hakuna hela, hakuna mpenzi. Rafiki zangu walikuwa wanaoa, wanajenga nyumba, wengine wakifungua biashara zao.
Mimi nilikuwa kwa nyumba ya cucu, nikiomba data ili nicheki memes za Instagram. Nilikuwa nimekata tamaa, na neno “success” lilikuwa kama hadithi za katuni kwangu.
Nilikuwa nimezama kwenye dry spell ya maisha. Hakuna msichana aliyeweza kunipa attention ata DM zangu zilikuwa seen only. Interview zote nilizoenda, nilikataliwa.
Kwenye familia, nilianza kuonekana mzigo. Marafiki wangu walikuwa wakiniita “invisible investor” kwa sababu nilikuwa kila mahali lakini sifanyi lolote. Soma zaidi hapa
Post A Comment: