Kampuni ya MOFAT inayomilikiwa na wazawa inatarajiwa kushusa mabasi zaidi ya 200 muda wowote kuanzia sasa kwa ajili ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo kasi kwa ajili ya kutoa huduma kwenye barabara ya Gerezani - Mbagala jijini Dar es Salaam.
Inaelezwa kuwa kampuni hiyo iliyopewa mkataba wa miaka kumi na miwili 12 tayari imeagiza magari hayo ambayo yatakuwa wanatumia mfumo wa gesi na muda wowote kuanzia sasa mabasi yatasafirishwa kuja hapa nchini.
Post A Comment: