Nilikuwa nimekata tamaa. Wote tuliomaliza shule pamoja walikuwa wameshapata ajira nzuri au walikuwa wanaendelea na masomo ya juu. Mimi nilibaki kijijini, nikiuza duka dogo ambalo halikuwa linaingiza hata ya chakula ya siku. Sikuamini sana kwenye ndoto zangu tena, kwa sababu kila mlango niliogonga ulinifungiwa kwa jibu moja: “Huna qualifications.”
Nilijaribu kujiunga na mafunzo ya ufundi, lakini sikuweza kumaliza kwa sababu ya ada. Nilijitahidi kwa biashara, lakini kila mara nilipokuwa karibu kupata wateja, jambo la ajabu lilitokea: bidhaa zinaharibika, mtu anafungua duka lingine mbele yangu, au nalazimika kuuza bidhaa kwa hasara. Ilikuwa kama mikosi ilinifungia njia zote.
Ilifika hatua nilianza kuamini kwamba bahati yangu haipo. Siku moja nikiwa nimekaa kwa stoo yangu ndogo nikitafakari, niliona status ya jamaa mmoja Facebook ambaye tulikuwa naye shule. Alikuwa anasherehekea kufungua duka lake la tatu jijini, na aliandika maneno haya: “Sio kila kitu ni elimu, kuna wengine wanasaidiwa kwa ujuzi wa kipekee.” Soma zaidi hapa.
Post A Comment: