Wanaume wengi wanabadilika ghafla baada ya ndoa. Lakini nilikuwa sijui kama mabadiliko yanaweza kuwa mabaya kiasi kile. Niliolewa nikiwa na mapenzi tele, moyo wangu ulijawa na matumaini, nikajua nimepata mpenzi wa maisha. Mwanzoni alikuwa mpole, mwenye maneno matamu, alijua kunichekesha na kuniambia niko beautiful kila siku.

Baada ya mwaka mmoja wa ndoa, kila kitu kilibadilika. Kila kitu kidogo kilikuwa kosa. Akirudi home akiwa na stress, mimi ndiye target. Kwanza alianza na ukimya. Kisha maneno ya kunidhalilisha. Baadaye mkono ukaanza kuinuka. 

Alinipiga mara ya kwanza, akasema ni hasira. Mara ya pili, akasema niliuliza maswali mengi. Mara ya tatu, nikajua huyu mtu hataniangalia kama mke tena. 

Alinipiga mbele ya watoto. Alinirusha hadi nikagonga ukuta. Nilimlilia. Nilimwomba abadilishe tabia. Lakini hakuwa anasikia. Soma zaidi hapa. 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: