Kwa miezi mingi, majirani waliona akija nyumbani kwangu saa za usiku, akiondoka kabla ya alfajiri. Lakini sasa, wananishangaa: yule yule mwanaume ambaye aliwahi kusema hawezi kuwa committed, leo hii anasimama mbele ya ndugu zake akinifanyia posa rasmi. Ni mabadiliko yaliyowashangaza wengi na hata mimi, hadi leo, bado siamini kilichotokea.

Tulianza uhusiano wetu tukiwa marafiki wa karibu. Ilikuwa ni mahusiano ya furaha, lakini kila nilipotaja mambo ya kujenga maisha au ndoa, alikuwa mkali. “Mimi si mtu wa commitment,” alinieleza kwa sauti ya ukakamavu.


Nilifikiri anatania, lakini baadaye niligundua alikuwa serious. Aliniacha ghafla, akaniambia anataka space. Hakukuwa na ugomvi mkubwa. Alitoweka tu. Miezi ilipita. Niliumia, nikajaribu kumwacha. Nilijishughulisha na kazi, marafiki, hata kujaribu mahusiano mengine.

Lakini moyo wangu ulikuwa kwake. Kila nilipojaribu kuendelea na maisha, nilikumbuka jinsi alivyoniangalia, jinsi tulivyocheka pamoja. Nilihisi kama kuna kitu kilikuwa kimevunjika vibaya sana ndani yangu.

Siku moja, rafiki yangu wa karibu alinitembelea na kuniambia, “Wewe unajua ni kwanini wanaume hawadumu na wewe?” Nilitetemeka. Alisema kuna uwezekano kwamba mahusiano yangu yamefungwa kiroho na kwamba siyo la kawaida mwanaume kukupenda sana, kisha ghafla kukukimbia bila sababu ya msingi. Bonyeza hapa kusoma zaidi 


Share To:

contentproducer

Post A Comment: