Jina langu ni Simon kutoka kaunti ya Vihiga, nilikuwa mfanyibishara haswa wa kilimo, nilikuwa na ng’ombe wawili wa maziwa ambao walikuwa wananipa faida kubwa sana kutokana na uuzaji wa maziwa.
ilifanya pia ukulima wa nyanya lakini uuzaji maziwa ulikuwa na faida sana kulinganisha na kilimo cha nyanya, kazi hii iliniwezesha kulipia wanangu karo ya shuleni, kuwezesha wanangu kupata lishe bora na hata kufanya maendelea mengi pale nyumbani.
Ng’ombe wangu walikuwa wenye afya kutokana na mimi kujua ni kipi haswa walihitaji ili kuleta faida, ila siku moja niliamka na kukuta zizi la ng’ombe langu lilikuwa wazi.
Kufumba na kufungua macho hapakuwa na mifugo wangu niliowategemea, nilikumbwa na mshutuko wa moyo na hata nilidhani kwamba walikuwa tu karibu, kumbe walikuwa tayari wameshaibiwa. Soma zaidi hapa.
Post A Comment: