TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu ya Zanzibar na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Charles Hilary, amefariki dunia alfajiri ya leo Mei 11, 2025. Charles pia aliwahi mtumishi mwandamizi wa Azam Media Limited kati ya mwaka 2015 na 2023. Uongozi wa Msumba News Media Group unatoa Pole kwa ndugu , jamaa na Marafiki . Mwenyezi Mungu ailaze mahala Pema Peponi Amen .
Post A Comment: