šŸ“ŒAipongeza REA kwa kufikisha umeme vijijini

šŸ“ŒAsisitiza matumizi ya nishati safi ya kupikia

šŸ“ŒApokea taarifa ya miradi ya REA inayoendelea

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Selemani Jafo ametembelea banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) wakati akifunga Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024 uliofanyika leo tarehe 5 Disemba, 2024 jijini Arusha.







Share To:

Post A Comment: