Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi kama Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika mbalimbali na Taasisi za Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam .
Viongozi wa Serikali, Wakuu wa Mashirika na Taasisi za umma pamoja na Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya kupokea Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika na Taasisi za UmmaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea mfano wa Hundi kama Gawio na Michango kutoka kwa Mashirika mbalimbali na Taasisi za Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Juni, 2024.
Post A Comment: