Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza kuu la UVCCM wakiongozwa na Mwenyekiti UVCCM Taifa Ndugu Mohammed Ali Kawaida (MCC) watembelea, kukagua ujenzi wa jengo la wagonjwa Mahututi (ICU) iliyojengwa kwenye hosipitali ya wilaya ya Simanjiro.

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi amewapongeza kwa kazi nzuri na kuwaambia waharakishe jengo hilo lianze huduma haraka iwezekanavyo, wameahidi baada ya wiki moja jengo hilo litaanza kutumika.

.
.
.
.
.
Share To:

Post A Comment: