Wakina mama wakiomboleza baada ya kuona mwili wa Hayati Lowassa ukipitishwa katika viunga vya Jiji la Arusha.

Matukio katika picha .Mwili wa hayati Edward Ngoyai Lowasa ukiwasili katika uwanja wa ndege wa Kilimanjaro.

Msafara wa mwili wa Hayati Lowassa ukielekea nyumbani kwake Monduli kwaajili ya mazishi.

Madereva bodaboda nao hawakuacha mbali kusindikiza mwili wa Hayati Lowasa.

Pichani ni msafara wa Mwili Hayati Lowassa ukielekea Monduli.

Wanafunzi wakionyesha majonzi baada ya kupitishwa kwa mwili huo.

Wakina mama wakiomboleza.

Share To:

Post A Comment: