Mamlaka ya Serikali Mtandao imezitaka na  kuzisisitiza Taasisi za umma kutumia TEHAMA katika utoaji wa huduma zao ili kumrahisishia mwananchi kupata huduma hizo kwa urahisi na gharama nafuu

 (e-GA) inashiriki Maonesho ya kimataifa ya Nanenane mwaka 2023  kwa lengo la kutoa Elimu kwa wananchi kuhusu kazi na Majukumu ya Mamlaka 


Picha za Matukio mbalimbali ya wananchi wakipatiwa Elimu na huduma mbalimbali katika Banda la Mamlaka ya Serikali Mtandao lililopo katika viwanja vya John Mwakangale-Nanenane jijini Mbeya.


Share To:

ELIZA DOM

Post A Comment: