Na; Elizabeth Paulo, Dodoma

Godbless D. Mrina Meneja masoko kanda ya kati kutoka Kampuni ya ASAS DAIRIES LIMITED yenye makao nakuu yake Iringa akitoa ufafanuzi wa shughuli zinazofanywa na Kampuni hiyo kwa Viongozi walipokua wakitembelea Banda hilo akiwemo Naibu Waziri Wa Mifugo na Uvuvi Mheshimiwa David Silinde, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Senyamule Pamoja na Viongozi waliombatana nao.

Pichani ni Meneja Mrina akikabidhi zawadi kwa Naibu Waziri Mheshimiwa David Silinde


Katika picha nyingine ni Mrina akikabidhi zawadi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Rosemary Senyamule.

ASAS ni Bidhaa ya maziwa ya Tanzania inayopendwa zaidik Ikiwa katika Mkoa wa Iringa, ASAS DAIRIES LTD ni kampuni binafsi ya usindikaji wa maziwa ambayo ilianzishwa mwaka 2000 kutoa bidhaa bora za maziwa kwa soko la ndani.

Share To:

ELIZA DOM

Post A Comment: