Mbunge Wa Jimbo La Mufindi Kusini ambaye pia ni Mwenyekiti Wa Bunge La Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania David Kihenzile Leo Amemkabidhi Zawadi Ya Ng’ombe wawili, mmoja kwa ajili ya Mh.Rais Samia Suluhu Hassani  na ng'ombe wa pili ikiwa ni zawadi kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Ndugu Daniel Chongolo. 


Katibu Mkuu Chongolo amepokea Ng’ombe Hao Kwenye Mkutano Wa Uliofanyika Wilaya Ya Mufindi Kata Ya Nyololo Ikiwa Ni Mwendelezo Wa Ziara Ya Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi CCM Katika Mkoa Wa Iringa.


 Lengo Lakutoa Zawadi Hiyo Ni Kama Neno La shukrani Kwa Mh. Rais Kwa Kazi Kubwa Na Nyingi Alizoweza Kuzifanya na kuzitekeleza Katika Nchi kwa ujumla hasa Jimbo La Mufindi Kusini kweny Sekta mbalimbali Kama Vile Ujenzi Wa Majengo Mapya ya Madarasa sambamba Ukarabati Katika Shule Za Msingi Na Sekondari, Ujenzi Wa Hosptali Ya Wilaya, Ujenzi Wa Barabara za lami, Sambamba Na Uboreshwaji Wa Barabara Zilizokuwa Zimechakaa pia Kuboresha katika Sekta ya Maji Pamoja na Nishati kwa Baadhi ya Vijiji vilivyopo Jimboni hapoPia Mhe Mbunge Aliongezea Kwa Kusema 


“Zawadi Hizi Zimetolewa Na Wanamufindi Kusini Na Mimi Nina Zikabidhi Kwa Niaba Ya Uwawakilisha Wananchi Wa Mufindi Kusini Kadharika Wamenituma Niwasilishe Salamu Nyingi Kwa Rais Samia Na Pongezi Kwa Kazi Kubwa Na Nzuri Zenye Msingi Wa Kujenga Na Kubolesha Taifa Bora” Mbunge Huyo Alisema

Share To:

Post A Comment: