Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura akitoa heshima ya mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.



 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.



Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule akiwapa pole familia ya aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.



Mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam ukiingizwa katika viwanja vya kambi ya kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoa wa Dodoma yakutoa heshima za mwisho kwa Maofisa, Wakaguzi, askari pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma..Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.


Kamishna wa utawala na Rasilimali watu wa Jeshi la Polisi, CP Suzan Kaganda akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dodoma (RCO) Marehemu Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) Tarsis Ildephonce Mwenge aliyefariki Februari 28, 2023 katika hospital ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam.Picha na Benedict Mlawa wa Jeshi la Polisi.

Share To:

ELIZA DOM

Post A Comment: