Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa kidato cha pili, mmoja Shule ya Sekondari St Francis na mwingine Sekondari ya Pandahill wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha magari matatu kwenye mteremko wa Iwambi nje kidogo ya Jiji la Mbeya

Wanafunzi waliopoteza maisha ni Maria Aluta na Halima Mwaijumba. Katika ajali hiyo watu wengine watatu wamejeruhiwa.

Share To:

Post A Comment: