Rais Samia Suluhu Hassan anaeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam. Katika makala hii, Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi. Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na serikali kukabiliana na hali hiyo. Serikali iliingiza maji lita milioni Sabini (70) jijini Dar es Salaam kutoka Kigamboni. Pia serikali imeanza ujenzi wa Bwawa la Kidunda ambalo ndio suluhisho la kudumu la tatizo la maji jijini Dar es Salaam.
Share To:

dotto mwaibale

Post A Comment: