Matukio katika picha uzinduzi wa Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB lenye lengo la kuunga mkono maendeleo katika sekta ya afya kwa kuhamasisha uchangiaji damu salama kwa ajili ya wahitaji wa damu katika hospitali ya Mkoa wa Shinyanga pamoja na kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage.

Uzinduzi wa Tamasha la Mbio za baiskeli umefanywa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile ambaye amefungua mbio za baiskeli kilomita 150 (Shinyanga – Isaka).

Mbio hizo za baiskeli zimetanguliwa na Mazoezi ya kukimbia ‘Jogging’, mazoezi ya viungo ‘Aerobics’ yakiongozwa na Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi Saidi Pamui na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali.

Picha zote na Kadama Malunde

Wabobevu wa baiskeli wakiwa katika eneo la Kambarage Mjini Shinyanga wakijiandaa kuanza kukimbia kilomita 150 (Shinyanga- Isaka) ambapo mshindi wa kwanza atapata zawadi ya pesa taslimu kiasi cha shilingi 1,500,000/=

Viongozi wa Benki ya CRDB wakiwa katika picha ya pamoja Kundi la Vijana wakimbiza baiskeli 
Mgeni rasmi, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akizindua Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB lenye lengo la kuunga mkono maendeleo katika sekta ya afya kwa kuhamasisha uchangiaji damu salama kwa ajili ya wahitaji wa damu katika hospitali ya Mkoa wa Shinyanga pamoja na kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage.
Mgeni rasmi, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akizinduaTamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB 
Mgeni rasmi, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yudas Ndungile akizindua Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB 
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Magharibi, Saidi Pamui akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB 

Kaimu RTO Mkoa wa Shinyanga ACP, Dezidery Kaigwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Mbio za Baiskeli Shinyanga lililoandaliwa na Benki ya CRDB 
Waendesha baiskeli wakijiandaa kuanza kukimbia kilomita 150 (Shinyanga- Isaka) 
Waendesha baiskeli wakianza kukimbia kilomita 150 (Shinyanga- Isaka) 

Wadau wakifanya Mazoezi ya kukimbia ‘Jogging’ ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Tamasha la Mbio za Baiskeli lililoandaliwa na Benki ya CRDB

Wadau wakiwa katika benki ya CRDB Tawi la Shinyanga wakati wakifanya Mazoezi ya kukimbia ‘Jogging’ ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Tamasha la Mbio za Baiskeli lililoandaliwa na Benki ya CRDB

Wadau wakifanya mazoezi ya viungo ‘Aerobics’ ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Tamasha la Mbio za Baiskeli lililoandaliwa na Benki ya CRDB

Share To:

Post A Comment: