Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungu, akiwa kwenye ziara ya siku moja mkoani Singida. 

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungu, akiwa kwenye ziara ya siku moja mkoani Singida. Agosti 5, 2022. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Peter Serukamba, Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Justice Kijazi.

Muonekano wa mradi wa ujenzi wa kituo cha afya Iglanson, kilichopo katika Wilaya ya Ikungi. Agosti 5, 2022.

Share To:

Post A Comment: