Mkuu mpya wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amekutana na Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Dodoma kwa lengo la kujitambulisha leo Agosti 10,2022 ambapo ameomba kushirikiana kuijenga Dodoma yenye muonekano wa Kimataifa kutokana na kuwa ni Makao Makuu ya Nchi.

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Godwin Nkanwa akitoa neno la kumkaribisha RC Senyamule na kuahidi CCM mkoa itampatia ushirikiano wa kutosha kuijenga Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Siasa ya CCM ya Mkoa wakisikiliza kwa makini wakati RC Senyamule akizungumza nao.
Share To:

Post A Comment: