Na Mwandishi wetu,Dodoma

 

MBUNGE wa jimbo la Lupa Mh,Masache Kasaka(katikati) leo ameshiriki hafla fupi ya utiaji saini  mikataba ya miradi ya maji  ya Miji 28 yenye thamani  ya Trilion 1.7 huku  wilaya ya Chunya ikiwa inaenda  kunufainika na  mradi huo mkubwa wa maji.

 

Katika hafla hiyo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh,Samia Suluhu Hassan .



Share To:

Post A Comment: