Mhadhiri Mwandamizi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) na Mwenyekiti wa THT Dkt. Daudi Simbeye (katikati mstari wa mbele) akiwa na baadhi ya watumishi wengine wa Taasisi hiyo wakati wa maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika leo Mei 1,2022 katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya watumishi wa Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) wakifuatilia sherehe za Mei Mosi katika Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam ambapo Taasisi hiyo ni miongozi mwa Taasisi za Serikali zilizoshiriki maadhimisho hayo.


Watumishi wa DIT wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe hizo
Share To:

Adery Masta

Post A Comment: