Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi(Mb) ameshiriki mkutano wa tisa Baraza la Mawaziri Bonde la mto Zambezi(ZAMCOM) mkutano uliofanyika kwa njia ya mtandao.


Aidha katika mkutano huo Mtanzania Felix Ngalamgosi ambaye ni mtaalamu na mbobezi wa masuala ya uchumi ametambulishwa rasmi kuziba nafasi ya Michael Mutale aliyefariki mwezi juni,2021.Share To:

Post A Comment: