Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kwamba chini ya uongozi wake kamwe chama chake hakitakuwa ni cha kulipa visasi.
"Nilipopata mwaliko siku ile ile nimetoka gerezani, nikathibitisha nitakwenda, kamwe sikuruhusu uchungu na maumivu binafsi vinipe upofu na kiburi cha kutokuiona heshima niliyopewa na Rais," amesema Mbowe
Post A Comment: