Na Mwandishi wetu ,Manyara
NAIBU waziri wa Maji Mhandisi ,Maryprisca Mahundi amewapongeza watumishi wa Wakala wa Maji Vijijini Wilaya ya Babati kwa kujitolea kwa dhati kutekeleza mradi wa maji wa Mayoka-Minjingu.
Amesema wataalaam hao walilazimika kuzama majini ziwa Manyara ili kuweka miundombinu ya mabomba umbali wa kilometa 13.
"Niwapongeze sana kwa jitihada kubwa mliyoifanya. Huu ndio uzalendo unaosisitizwa na serikali."
Mwisho.
Post A Comment: