Watu watatu wa familia moja wameteketea kwa moto huko Lushoto Mkoani Tanga.
Baadhi ya mashuhuda wakiwemo viongozi wa serikali ya mtaa wa Dochi, wamesema moto huo ulitokea majira ya saa 9 alfajiri na chanzo chake hakijajulikana, umesababisha vifo cha mtoto wa miaka 6 Mariam Leonard,mama yake mzazi Asmaa Yahaya aliyekuwa na mdogo wake wa kike Sabrina Yahaya.
Baadhi ya waombolezaji wa tukio hilo ambao hawakutaka majina yao yatajwe wameliomba jeshi la polisi kuangalia kwa kina tukio hilo.
Post A Comment: