Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.George Kakunda,Satbir Hanspal Mkurugenzi wa kiwanda cha Hanspaul Mrisho Gambo Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.George Kakunda,Satbir Hanspal Mkurugenzi wa kiwanda cha Hanspaul Mrisho Gambo Mkuu wa Mkoa wa Arusha
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.George Kakunda,Satbir Hanspal Mkurugenzi wa kiwanda cha Hanspaul Mrisho
Na.Vero Ignatus,Arusha
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.George Kakunda ametembela kiwanda cha kuunda bodi za magari ya utalii cha Hunspaul kilichopo njiro mkoani Arusha na kutoa maelekezo kwa Taasisi ya Brela na Tume ya Ushindani wa Kibiashara FCC kuangalia namna kampuni hizo na RSA ya Moshi zinazotengeneza magari ya utalii ili ziweze kufanya biashara zao kwa ushindani na kuepusha migogoro isiyo ya lazima
Mhe Waziri ameyasema hayo leo ikia ni siku moja baada ya kutembelea kiwanda cha RSA na kupokea malalamiko toka kwa wamiliki wa kiwanda hicho juu ya kuigwa kwa nembo yao ya kibiashara na moja ya kiwanda kilichopo mkoani Arusha.
"Ninaagiza BRELA na FCC waje hapa sio kwa lengo la kufunga kiwanda hiki ila ni kwaajili y a kuhakikisha kwamba utaratibu unawekwa vizuri ili uzalishaji wa Moshi uendelee na Uzalishaji wa Arusha uendelee na hiyo ndiyo kauli yangu ya mwisho kwani kiwanda hiki kimefanya uwekezaji mkubwa nawa kisasa na meshuhudia ubunifu mkubwa ikiwe mo utenegenezaji wa magari yanayotumia umeme" alisema Mhe. Wa ziri.
Waziri wa Viwanda na Biashara
Mhe Waziri ameyasema hayo leo ikia ni siku moja baada ya kutembelea kiwanda cha RSA na kupokea malalamiko toka
"Ninaagiza BRELA na FCC waje hapa sio kwa lengo la kufunga kiwanda hiki ila ni kwaajili y
Satbir Hanspal Mkurugenzi wa kiwanda cha Hanspaul amemshukuru waziri wa viwanda na biashara kwa kutembelea kiwand a chao na kujionea uzalishaji unaoendelea,ambapo amesema wao kama wawekezaji wazawa wanajivunia serikali inayojali changamoto za wawekezaji kwani bado wana fursa kubwa ya uwekezaji nyumbani.
“ Wawekezaji wazawa unajivunia sana kuwa na serikali inayojali changamoto za wawe kezaji, Tanzania bado kuna fursa kubwa sana ya uwekezaji na sisi tume amuakuwekeza nyumbani ndio maa na pamoja na kiwanda hiki cha kutengeneza magari ya watalii tumefungua na kiwandakingine cha kutengeneza mifuko ya kara tasi ili kutoa suluhisho baada ya serikali kupiga marufuku mi fuko yaplastiki” alisema Satbi r.
Mrisho Gambo Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambapo amesema wao kama Serikali ya Mkoa wamejipanga kutoa ush irikiano kwawawekezaji wote wa lioko mkoani Arusha,amesema japo kuwa wanakumbana na changamoto za kibiashara lengo kuu ni kulinda chata zetu ndani kibiashara.
“Sisi kama Mkoa tunajivunia sa na uwekezaji huu na kuwepokwa kiwanda hiki Mkoani Arusha kwa ni ni sifa kwa mkoawetu na nch i kwa ujumla, hivyo nipende ku watia moyowawekezaji hawa waka ti wowote wanapokumbana nachan gamoto za kibiashara lengo let u ni kulinda brand zetu zandan i” alisema Gambo.
Katika ziara hiyo Mhe Waziri Kakundo aliweza kutembelea kiwanda cha Hanspaul Industries Liimites kinachotengeneza mifuk o ya karatasi kujionea uwekezaji mkubwa
ambapo amewapongeza wa wekezaji hao kwa kuweza kutafuta suluhisho baada yakatazo la mifuko ya plastiki kuanzia tar ehe 01 June 2019
ambapo amewapongeza wa
Post A Comment: