Tanzia : Katibu wa Ccm Wilaya ya Ikungi Afariki Dunia msumbanews on May 25, 2018 SIASA, Katibu wa CCM Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Ndg. Philipo Eliezah amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Dodoma. Mbunge wa Singida Magharibi Mh: Elibariki Kingu Amedhibitisha kutokea kwa kifo hicho. Mh: Kingu amesema Philipo alifikwa na mauti hospitalini hapo alikopelekwa kwa matibabu ya upasuaji wa tumbo. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: