Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), linawataarifu wateja wake wa laini ya Ilala na Kurasini kuwa kumetokea hitilafu kwenye laini hiyo baada ya Lori kubwa kugonga nguzo eneo la Puma.
TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA UMEME LAIN YA ILALA TOL,ILALA KURASINIShirika la Umeme Tanzania Tanesco linawataarifu Wateja wake wanaolishwa na laini ya Ilala Tol na ilala Kurasini kuwa kumetokea hitilafu kwenye laini hiyo baada ya lori kubwa kugonga nguzo eneo la pumaMafundi wako eneo la tukio kurekebisha hitilafu hii.Maeneo yanayoathirika niMwakalinga road, duce, keko, mkuu wa wilaya, temeke, changombe yote, jamana printers,quality plaza, viwanda base, tanzania oxygen, azania, jkt, uwanja wa taifa, kurasini yote, uhamiaji, unifreight, twalipo, bandari,transcargo,malawi cargo baraza la maaskofu, dockyard, uhasibu, mtoni,kijichi, Kata za Vijibweni, Tungi, Kigamboni, Mjimwema, Somangila, Kimbiji na Pembamnazi na maeneo jiraniUongozi unaomba radhi kwa usumbufu unaojitokeza.Tafadhali usishike waya uliokatika toa taarifa kupitia simu zifuatazo:Kwa mawasilianoKituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:Mitandao ya kijamiiTwitter, www.twitter.com/tanescoyetu,Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/IMETOLEWA NA:OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUUMAY /12/ 2018
Post A Comment: