Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imeyaaga rasmi mashindano ya kombe la Shirikisho barani Afrika baada ya kutoka sare ya 0 – 0 dhidi ya timu ya Al Masry katika mchezo uliyopigwa nchini Misri.
Simba SC imetolewa katika mashindano hayo baada ya kutoka sare ya mabao 2 – 2 jijini Dar es Salaam katika mchezo wake wa awali.
Picha za matukio ya uwanjani

Share To:

msumbanews

Post A Comment: