New Music Video: Weusi X Christian Bella – Nijue msumbanews on March 18, 2018 VIDEO, Kundi la Weusi limeachia video ya wimbo wa “Nijue” ambao limeshirikiana na King of the best melodies, Christian Bella. Mtayarishaji wa mdundo ni Nahreel kutoka The Industry na Video imeongozwa na Hanscana, itazame hapa chini kisha acha comment yako Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post msumbanews View Profile
Post A Comment: