Msanii Diamond Platnumz amesema Wasafi FM na TV si kwa ajili ya mashindano na vyombo vingine vya habari.

Akizungumza visiwani Zanzibar Diamond amesema vyombo hivyo ni kwa ajili ya kuondoa matabaka miongoni mwa wasanii na kukuuza muziki.
“Ninaomba watu waelewe kabisa hakipo katika kushindana na kitu chochote au kushinda na chombo chochote,” amesema Diamond.
Diamond na timu yake ya Wasafi kwa sasa wapo visiwani Zanzibar kwa ajili ya kusaka vipaji vya utangazaji ambavyo vitapewa nafasi katika vyombo hivyo vya habari
Share To:

msumbanews

Post A Comment: