Mara baada ya Yanga Kupata Ushindi wa Bao 1 kwa Bila bao la Pius Charles Buswita Afisa Habari wa Simba Haji Manara ametupia Dongo la Chini chini kwa Yanga licha ya kushinda kwa kuandika kuhusiana na Kuzidiwa umiliki wa Mpira (Ball Possession )
Kupitia Ukurasa wake wa Instagram msomaji wa Kwataunit.com Manara ameandika Ujumbe wake na Kusema ikitokea siku simba imezidiwa umiliki wa Mpira basi atahama Tanzania.
  • “Kwanza hongera watani kwa ushindi,bt unajua why wanasimba wanapenda chama lao?jibu ni ise. Futboll Philosophy yetu haturuhusu utuzidi ball possession.licha ya kusaka ushindi huwa tunawaburudisha our fans Na ikitokea siku tumezidiwa hilo nahama bongoπŸ™‡ πŸ‘πŸ‘”

Haji Manara awapongeza Yanga na Kutupia Kijembe hapo hapo

Share To:

msumbanews

Post A Comment: