wazz1
Wafanyakazi wa kampuni ya kiwanda cha TBL cha mjini Moshi walijumuika na familia zao katika siku ya Familia iliyofanyika kwenye viwanja vya hoteli ya Weru Weru River Lodge.
Kulikuwepo na burudani za kila aina kuanzia michezo ya aina mbalimbali ya wakubwa na watoto,burudani ya muziki,maakuli ya kila aina bila kusahau mambo ya kata mti panda mti.
wazz2
Wafanyakazi pamoja na familia zao wakipata burudani na michezo  mbalimbali.
wazz3 wazz4 wazz5 wazz6 wazz7
Share To:

msumbanews

Post A Comment: