vic1
Meneja Mauzo wa TBL Group, Patrick Swai, akifafanua jambo  kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam, ambao ni wauzaji wa   vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group ,wakati wa semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Programe)  iliyofanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
vic2
vic3
Meneja Mauzo wa TBL Group, Patrick Swai, akifafanua jambo  kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Dar es Salaam, ambao ni wauzaji wa   vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group ,wakati wa semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Programe)  iliyofanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam
vic4
vic5
Baadhi ya wafanyabiashara  wa mkoa wa Dar es Salaam ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakimsikiliza kwa makini mkufunzi wa  wa utoaji wa huduma za ushauri ,mafunzo na uendelezaji wa biashara  wa kampuni ya TAPBDS ,Joseph Migunda,(kushoto) wakati wa semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam . (P.T)
vic6
vic7
Baadhi ya wafanyabiashara  wa mkoa wa Dar es Salaam ambao ni wauzaji wa vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakiwa kwenye  semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group jana Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
vic8
Baadhi ya wafanyabishara wa mkoa wa Dar es Salaam, wakiwa kwenye semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group jana Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
vic9
vic10
Mmoja wa wafanyabiashara ya vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group, akiuliza swali wakati wa   semina  ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) iliyoandaliwa na TBL Group  na  kufanyika katika ukumbi wa Msimbazi Centre jijini Dar es Slaam .
vic12
Washiriki wa semina ya mpango wa uendelezaji wa wafanyabiashara wadogowadogo  (Retailer Development Program) wanaouza vinywaji vinavyozalishwa na TBL Group wakiwa kwenye picha ya pamoja  wakati wa semina hiyo iliyoandaliwa na TBL Group na kufanyika ukumbi wa   Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam .
Share To:

msumbanews

Post A Comment: