MKUU WA MKOA WA ARUSHA MRISHO GAMBO  ATATUA MGOGORO WA NYUMBA

 

Leo tumehitimisha mgogoro wa nyumba zilizopigwa X Kata ya Murriet Mkoani Arusha. Tumeangalia maslahi mapana ya wananchi wetu na kuachana na mpango wa kubomoa eneo hili. Nawatakia kila la heri wananchi hawa kwenye jitihada zao za kujipatia makazi. Nimefuta mpango huu wa kuvunja nyumba hizi na wananchi waendelee kuendeleza nyumba na viwanja vyao.


www.msumbanews.blogspot.com

 

Share To:

msumbanews

Post A Comment: