Wednesday, 7 July 2021

RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI

 


 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi  mbalimbali waliojitokeza kumpokea alipowasili katika Eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili leo Julai 07,2021. Picha na Ikulu


No comments:

Post a Comment