Home
Unlabelled
RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi mbalimbali waliojitokeza kumpokea alipowasili katika Eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili leo Julai 07,2021. Picha na Ikulu
Back To Top
Post A Comment: