Thursday, 21 March 2019

Serikali yawataka wananchi kupuuza ujumbe unaotumia vibaya jina la Waziri Mkuu


Kutokana na kuwepo kwa ujumbe wa kitapeli unaosambazwa katika mtandao wa kijamii wa Whatsapp, Serikali imewataka wananchi wanaoupokea ujumbe huo kuupuuza wakati hatua kali zinachukuliwa juu ya wote waliohusika.

No comments:

Post a comment