Sunday, 21 October 2018

Breaking News ; BILIONEA MO DEWJI ALIYETEKWA APATIKANA

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Bilionea/Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’  aliyetekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11,2018 amepatikana akiwa hai.

Mo Dewji amepatikana alfajiri ya leo Jumamosi Oktoba 20, 2018. 

Baba mzazi wa Mo Dewji, Gullam Dewji amesema,"Ni kweli Mo amepatikana, yupo hapa nyumbani."


No comments:

Post a comment